Home video VIDEO: JULIO ATAJA KILICHOWAPA USHINDI YANGA KWA SIMBA

VIDEO: JULIO ATAJA KILICHOWAPA USHINDI YANGA KWA SIMBA

JULIO amesema kuwa licha ya kwamba Klabu ya Simba ni nzuri haina maana kwamba haiwezi kufungwa.


Ameongeza kuwa jambo ambalo lililofanya ikapoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga, Julai 3 ilikuwa ni uwezo wao wa kumiliki mpira kipindi cha kwanza ambao ulikuwa ni kwa upande wa Yanga licha ya Simba kufanikiwa kumiliki kipindi cha pili bahati haikuwa kwao Uwanja wa Mkapa. 

Ameweka wazi kwamba anaamini Simba watakuwa mabingwa wa ligi msimu wa 2020/21.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YATOA TAMKO ISHU YA SAKATA LA MORRISON, JEZI MPYA KALI