MZEE Mpili ameweka wazi kwamba Yanga waliahidiwa Bilioni 5 endapo ingeifunga Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, mwisho wa reli Kigoma ambapo Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.