Home video VIDEO: TAZAMA NAMNA MORISSON ANAVYOCHEZA NA MPIRA

VIDEO: TAZAMA NAMNA MORISSON ANAVYOCHEZA NA MPIRA

NYOTA wa Simba, Bernard Morrison chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes ni miongoni mwa wachezaji waliopo kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho, Julai 3, hapa ni mazoezi yao na namna anavyochezea mpira. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA WAFURAHIA DILI LA AZAM TV