Home video VIDEO: YANGA WAFURAHIA DILI LA AZAM TV

VIDEO: YANGA WAFURAHIA DILI LA AZAM TV

MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa kusaini dili lenye thamani ya bilioni 41  na Azam Media kwa kipindi cha miaka 10, jana Julai 8 kuhusu mahudhui kwao ni furaha kwa sababu kila jambo ambalo linafanyika ni lazima litangazwe ili wale waliopo pia kijijini waweze kuona kinachoendelea.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE MPILI ACHA KABISA, ULINZI WAKE KAMA WOTE