Home video VIDEO:YANGA V IHEFU KESHO KUKUTANA KWA MKAPA

VIDEO:YANGA V IHEFU KESHO KUKUTANA KWA MKAPA

KESHO Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni Yanga watawakaribisha Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Razack Siwa kocha wa Makipa ameweka wazi kwamba wanahitaji pointi tatu na kocha msaidizi wa Ihefu FC Temmy Felix amesema kuwa wapo kwenye hali mbaya watapambana kushinda. 

 

SOMA NA HII  SHABIKI SIMBA ATAMBA KUHUSU KUJAZA UWANJA,AMTAJA MANARA