Home video VIDEO: MZEE MPILI AIBUKA KARIAKOO, ASEPA NA KIJIJI CHAKE

VIDEO: MZEE MPILI AIBUKA KARIAKOO, ASEPA NA KIJIJI CHAKE

0

BAADA ya Yanga kupoteza mchezo wao wa Kombe la Shirikisho hakuweza kuonekana kwa muda Mzee Mpili ila kwa sasa ameonekana Kariakoo na mashabiki walimfuata kwa shangwe akasepa na kijiji chake.