Simba SC

UKIACHA BANDA..HAWA HAPA NYOTA WENGINE AMBAO GOMES KAAGIZA WASAJILIE CHAP

admin August 3, 2021 4:58 pm


Simba tayari imesajili wachezaji wanne ambao ni kipa Jeremiah Kisubi, beki Israel Mwenda, winga Jimson Mwinuke na straika Denis Kibu.

Lakini pia leo inatarajia kumpokea Mmalawi, Peter Banda ambaye jina lake limepitishwa na Kocha wa timu hiyo Didier Gomes.

Gomes akiwa Ufaransa kwa mapumziko, aliliambia Soka la Bongo kuwa, jina la Banda lilitua mezani mwake na kuanza kumfuatilia.

CRISTIAN ROMERO YUPO KWENYE HESABU ZA KUJIUNGA NA SPURS HII HAPA ORODHA YA NYOTA 8 WATAKAOKUTANA NA PANGA LA CHUMA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply