Home Simba SC BREAKING NEWS: YUSUPH MHILU ASAINI SIMBA SC KWA MIAKA MITATU

BREAKING NEWS: YUSUPH MHILU ASAINI SIMBA SC KWA MIAKA MITATU

0


BREAKING: NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars aliyekuwa kikosi cha kwanza kilikuwa kinashiriki Cecafa Challenge 2021 U 23.

Leo Agosti 4 ametangazwa rasmi kuwa mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano na timu ya Simba.

SOMA PIA :KIUNGO ALIYETEMWA KAGERA SUGAR AFUNGUKA KUSAINI SIMBA MIAKA MITATU

Amepewa dili la miaka mitatu kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes.