Home video VIDEO: MUZIKI WA YANGA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA, KIKOSI HIKI HAPA

VIDEO: MUZIKI WA YANGA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA, KIKOSI HIKI HAPA


YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwa msimu ujao wa 2021/22 kinatarajiwa kuwa na maingizo mapya 7 kikosi cha kwanza huku wengine wakibaki ikiwa ni pamoja na Dickson Job ambaye ni beki. Fiston Abdulazack anatajwa kusepa baada ya dili lake kumeguka. 

 

SOMA NA HII  KASEKE AFUNGUKA BAADA YA KUIFUNGA SIMBA NGAO YA JAMII