Simba SC

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MBADALA WA CHAMA

admin August 13, 2021 3:43 pm


BREAKING:KIKOSI cha Simba leo kimemtambulisha nyota mpya ndani ya kikosi hicho Duncan Nyoni kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.

Ingizo hilo jipya lilikuwa linakipiga ndani ya kikosi cha Silver Striker ya Malawi msimu uliopita hivyo kwa sasa ni mali ya Simba.


Anaungana na wachezaji Paul Peter ambaye ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa huyu ni kiungo akitokea kikosi cha Big Bullets.

Mwingine mwingine ni Yusuph Mhilu ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Kagera Sugar yeye ni mshambuliaji.

Anakuja kuchukua mikoba ya nyota wa Simba, Clatous Chama ambaye atakuwa ndani ya kikosi cha RSB. Berkane ya Morocco.

MSHAHARA MPYA WA CHAMA HUKO MOROCCO KUFURU..SIMBA WAFUNGUKA WATAKAVYONUFAIKA KISA CHAMA NA LUIS KUSEPA MSIMBAZI.. KING KIBADEDI AIBUKA NA HAYA KWA UONGOZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply