video

VIDEO: KUMBE JEMBE ALIKATAZWA KUWA MWANDISHI, SABABU YA JINA YAWEKWA WAZI, ANACHANA

admin August 15, 2021 1:43 pm

SALEH Jembe ameweka wazi kwamba ana uwezo mkubwa wa kucheza mpira na huko ndiko ambapo jina la Jembe lilianzia, pia amebainisha kwamba alikuwa anakatazwa kuwa Mwandishi wa Habari wakati huo akikua. 


Kazi zote alifanya kwenye burudani, michezo, ngumi ila kwa sasa amewekeza nguvu nyingi kwenye michezo. Video Credit kutoka Star Tv kipindi cha Mcheza Kwao.

 

BREAKING:SIMBA YAMTANGAZA MCONGO MPYA, YEYE NI BEKI TFF YATOA UFAFANUZI KUHUSU WACHEZAJI 12 WA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply