video
VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO
WAKIWA nchini Morocco mabingwa wa kihistoria Yanga wanaendelea kupiga matizi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu wa 202/22 ambao unatarajiwa kuanza kukiwasha Septemba 29.
Mechi ya ufunguzi ambayo ni ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba inatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Septemba 25.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.