video

VIDEO: TAZAMA NAMNA WACHEZAJI YANGA WALIVYOPOKELEWA

admin August 29, 2021 4:43 am

WACHEZAJI wa Yanga ambao walibaki nchini Morocco kutokana na sababu mbalimbali jana walirejea Dar na kuungana na wachezaji wenzao ambao walirudi mapema kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22 na leo watakuwepo kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi.Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Yacouba Songne, Dickosn Ambundo. 

 

BAADA YA KICHAPO CHA 5 G ARTETA AWASHUKURU MASHABIKI DUH..KUMBE HII NDIO SABABU YA YANGA KUKATAA MECHI NA TIMU ZA MOROCCO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply