Home Burudani KARINGO ASHINDA MKWANJA SportPesa

KARINGO ASHINDA MKWANJA SportPesa




PICHANI ni mshindi wa bonasi ya Jackpot Abdallah Ramadhani Korongo mwenye umri wa miaka 29  kutoka Dodoma.

Korongo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,389,751/- za kitanzania baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.

 Kijana huyo Karongo alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot. Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni shilingi 450,150,500.

SOMA NA HII  NAMBA ZAKO ZA BAHATI ZINAWEZA KUBADILISHA KILA KITU LEO KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET....