Home Taifa Stars KOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

KOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

 

Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo na Madagascar.

SOMA NA HII  KUFUZU AFCON 2023...'HOMA YA JIJI' AIPA DAWA TAIFA STARS...AANIKA SIRI ZA KUICHAKAZA UGANDA MAPEMAAA...