Home Yanga SC RASMI MAYELE MALI YA YANGA ATAMBULISHWA NA JEZI APEWA

RASMI MAYELE MALI YA YANGA ATAMBULISHWA NA JEZI APEWA


RASMI Fiston Mayele ni mali ya Yanga ambapo ametambulishwa leo Agosti Mosi kwa mashabiki.

Mshambuliaji huyo raia wa Congo aliwasili Bongo jana na amemalizana na mabosi hao wa Yanga.

Rekodi zinaonyesha kuwa msimu wa 2020/21 akiwa AS Vita alitupia mabao 13 na pasi nne za mabao amesaini dili la miaka miwili.

Amekabidhiwa jezi namba 9 ambayo ataitumia msimu ujao wa 2021/22 Jangwani.

SOMA NA HII  JEMBE LA NABI LAMKOSHA GAMONDI, MWAMBA AREJEA KUNDINI