Home Simba SC UKIACHA BANDA..HAWA HAPA NYOTA WENGINE AMBAO GOMES KAAGIZA WASAJILIE CHAP

UKIACHA BANDA..HAWA HAPA NYOTA WENGINE AMBAO GOMES KAAGIZA WASAJILIE CHAP


Simba tayari imesajili wachezaji wanne ambao ni kipa Jeremiah Kisubi, beki Israel Mwenda, winga Jimson Mwinuke na straika Denis Kibu.

Lakini pia leo inatarajia kumpokea Mmalawi, Peter Banda ambaye jina lake limepitishwa na Kocha wa timu hiyo Didier Gomes.

Gomes akiwa Ufaransa kwa mapumziko, aliliambia Soka la Bongo kuwa, jina la Banda lilitua mezani mwake na kuanza kumfuatilia.

SOMA NA HII  WAMEAMUA....KILA GOLI MOJA KWA SIMBA NI MIL 1.5,....WASHINDWE WENYEWE TU.....