Home video VIDEO: AUCHO MALI YA YANGA, KUTAMBULISHWA MUDA WOWOTE

VIDEO: AUCHO MALI YA YANGA, KUTAMBULISHWA MUDA WOWOTE

NYOTA Aucho ambaye alikuwa anawindwa na Simba inaelezwa kuwa kwa sasa yupo kwenye rada za timu ya Yanga ambayo imepindua usajili wa nyota huyo ambaye na usajili wake inaelezwa kuwa umefika hatua nzuri na muda wowote anaweza kutambulishwa. 

 

SOMA NA HII  MAKAMBO:SIMBA NI TIMU KUBWA, HAYA NI MATOKEO