Home video MAKAMBO:SIMBA NI TIMU KUBWA, HAYA NI MATOKEO

MAKAMBO:SIMBA NI TIMU KUBWA, HAYA NI MATOKEO

HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wanawaheshimu Simba kwa kuwa ni moja ya timu kubwa na wanaamini kwamba kupoteza kwao ni sehemu ya matokeo. Jana Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

 

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA NAMNA AZAM FC WALIVYOWAPIGIA MAKOFI MABINGWA SIMBA