Home Azam FC VIDEO: AZAM FC YATAMBULISHA NEMBO MPYA, WACHEZAJI 12 KIMATAIFA

VIDEO: AZAM FC YATAMBULISHA NEMBO MPYA, WACHEZAJI 12 KIMATAIFA

AZAM FC leo Agosti 14 wamezindua nembo mpya ambayo imeanza kutumika kuitambulisha timu hiyo, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ametaja sababu ya timu hiyo kuweka kambi nchini Zambia. 


Kwa upande wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Rais Wallace Karia ameweka wazi kwamba kuna ongezeko la wachezaji 12 wa kimataifa. 

SOMA NA HII  AZAM FC KUMENYANA NA COASTAL UNION LEO