Home video VIDEO: JUMA KASEJA, NAHITAJI HESHIMA TU,ATAJA UCHAWI WAKE

VIDEO: JUMA KASEJA, NAHITAJI HESHIMA TU,ATAJA UCHAWI WAKE

JUMA Kaseja, Tanzania One, ameweka wazi kuwa msimu wa 2019/20 ambapo alipata majeraha mengi, ila msimu wa 2020/21 alikosekana kwenye mechi sita pekee huku mechi nyingine akiwa yeye langoni.


 Malengo makubwa ni kufikia malengo ya timu ambapo kwa msimu huu walimaliza wakiwa nafasi ya tano na walihitaji kumaliza nafasi ya tano msimu uliopita. Ameweka wazi kuwa KMC inacheza kitimu zaidi na mchezaji akipata nafasi ya kuondoka huwezi kumzuia.

 

SOMA NA HII  SAUTI:ISHU YA KAZE KURUDI YANGA IPO HIVI, UONGOZI WAWEKA WAZI