Home video VIDEO:MENEJA WA PETER BANDA AFUNGUKIA ISHU YA NYOTA HUYO KUTAKIWA NA SIMBA

VIDEO:MENEJA WA PETER BANDA AFUNGUKIA ISHU YA NYOTA HUYO KUTAKIWA NA SIMBA

MENEJA wa Peter Banda, Mohamed Mshangama ameweka wazi kuwa mchezaji huyo alikuwa na ofa nyingi kutoka timu za Dar na alikuwa akimuuliza wakati mwingi kuliko timu kutoka Tanzania.

 
Alimuambia kwamba aweke wazi timu ambayo anataka kwenda ila alimficha siku ambayo anakuja Tanzania. Kuhusu kuwa mrithi wa Luis Miquissone ameweka wazi kwamba bado anamuda wa kufanya kazi kwa kuwa ana miaka michache.

 

SOMA NA HII  VIDEO: ISHU YA LUIS KUSAJILIWA YANGA SIMBA YAFUNGUKA