Home video YANGA:KILA MTU ANACHEZA KWA KIWANGO AMBACHO ANACHO

YANGA:KILA MTU ANACHEZA KWA KIWANGO AMBACHO ANACHO

BAADA ya timu ya Yanga kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Kagame Cup kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express wamesema kuwa huwezi kumlazimisha mtu kucheza vile ambavyo hawezi. Walikuwa wanahitaji kombe hilo la Kagame hivyo watajipanga kwa wakati ujao.

 

SOMA NA HII  LIVE: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ANAZUNGUMZA NDANI ya GLOBAL RADIO