Namungo FC

MOLINGA NI MALI YA NAMUNGO

admin September 1, 2021 9:43 am


DAVID Molinga papaa Molinga msimu wa 2021/22 atakuwa ndani ya  Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  Hemed Morocco. 

Raia huyo wa Congo ana itambua vema ligi ya Tanzania kwa sababu aliwahi kucheza zama za Mwinyi Zahera alipokuwa Yanga na alikuwa ni namba moja kwa utupiaji.

Namungo imeweka kambi Lindi ikiwa na hesabu za kufanya vema msimu ujao wa 2021/22 kwa mujibu wa Morocco. 

Pia nyota mwingine wa kigeni ambaye yupo ndani ya Namungo FC ni pamoja na Obrey Chirwa ambaye alikuwa akikipiga ndani ya Namungo FC.

ORODHA YA WACHEZAJI STARS WALIOKWEA PIPA KUELEKEA DR CONGO ACHANA NA BILIONI 2 ZA KUMUUZA LUIS….SIMBA SC WAANDIKA REKODI HII MPYA KWA AL AHLY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply