kimataifa

MANCHESTER UNITED KUTUMIA MBINU HII KUINASA SAINI YA HAALAND

admin September 3, 2021 4:43 am


MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali.

United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund,  Erling Haaland ila mambo yamekuwa magumu.

Kwa sasa wanaamini kuwa ujio wa Cristiano Ronaldo ndani ya timu hiyo akitokeq Juventus utawapa nguvu ya kupata saini ya mshambuliaji huyo.

Ikumbukwe kwamba Ronaldo anarejea Manchester United baada ya kupita miaka 12 kwa kuwa alisepa hapo mwaka 2009.

KAZI INAENDELEA, NCHIMBI , MAYELE WAANZA KUCHEKA NA NYAVU KIM POULSEN MATUMAINI KIBAO MBELE YA MADAGASCAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply