Home Azam FC AZAM FC KUMKOSA DUBE

AZAM FC KUMKOSA DUBE


 AZAM FC kesho ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Horseed FC itamkosa Prince Dube ambaye ni majeruhi.

Nyota huyo kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini ambapo amefanyiwa upasuaji.
Uongozi wa Azam FC umeweka wazi kuwa maendeleo ya nyota huyo kwa sasa yanaendelea vizuri.
Dumbe ambaye msimu uliopita alitupia mabao 14 na kutoa pasi tano za mabao atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita.
SOMA NA HII  TETESI....ALIYESHINDA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUTUA SIMBA...AHMED ALLY AANIKA A-Z YOTE...