UWANJA wa Mkapa
Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali
Kipindi cha kwanza
Yanga 0-0 Rivers United
Dakika ya 44 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 42 Rivers United wanafanya jaribio ndanibya 18 linalenga nje ya lango
Dakika ya 37 Moloko anapiga kona inaokolewa na Rivers United
Dakika ya 35 Makambo anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 30 Yacouba anapiga of target ya pili kwa pasi safi ya Feisal Salum
Dakika ya 22 Moloko anaotea
Dakika ya 20 Adeyum anapiga faulo inakuwa ni off target
Dakika ya 19 Fei Toto anachezewa faulo na nyota wa Rivers United
Dakika ya 17 Mauya anamchezea faulo nahodha wa Rivers United na anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 16 Kibwana anapewa jukumu la kupeleka mashambulizi Rivers United
Dakika ya 14 Makambo anapeleka kwa Kibwana Shomari
Dakika ya 12 Yanga wanapiga kona ya pili haileti matunda kwa Yanga
Dakika ya 10 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga yanaokolewa na Diarra Djigui
Dakika ya 9 Mauya anapeleka maji Rivers United yanaokolewa
Dakkka ya 7 Yanga wanafanya jaribio linaokolewa na beki
Dakika ya 4 Adeyum anapewa huduma ya kwanza.
Dakika ya 2 Mauya anafanya jaribio halileti matunda kwa Yanga