video

VIDEO:KUMBE KIPA WA AZAM AWEKA WAZI KUWA WALITESEKA,HESABU ZAO HIZI HAPA

admin September 13, 2021 4:43 am

MATHIAS Kigonya, kipa namba moja wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina ameweka wazi kuwa zamani alikuwa mchezaji wa ndani ila alibadilishiwa nafasi na kuamua kuwa kipa jambo ambalo linamfanya awe na uwezo mkubwa wa kutumia miguu kuliko mikono.


 Wakati Azam FC ikiibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Horseed FC ya Somalia, Septemba 11 kipa huyo alikaa langoni na kuweka wazi kuwa waliteseka kidogo kusaka ushindi huo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya awali uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

 

VIDEO:RIVERS UNITED YAIKAZIA YANGA, YAWEKA WAZI KWAMBA ITAWAFUNGA TENA NIGERIA YANGA WATOA TAMKO BAADA YA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply