news
HILI HAPA JESHI LA SIMBA LEO DHIDI YA YANGA KWA MKAPA
KIKOSI cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.
Mchezo unatarajiwa kuanza saa 11:00 jioni ambapo ni mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 27, kikosi kitakuwa namna hii:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Mohamed Hussein
Sakho
Kanoute
Rarry Bwalya
Taddeo Lwanga
Chris Mugalu

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.