video

HUYU HAPA MO AKIZUNGUMZIA ISHU YA KUJIENGUA SIMBA,SABABU HIZI HAPA

admin September 29, 2021 9:43 am


MOHAMED Dewji, ‘Mo’, Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa atabaki kuwa Mwanahisa ndani ya timu hiyo baada ya kukubaliana na Bodi kwamba anaweza kustep down, (kukaa pembeni) kwenye nafasi hiyo. 

 
Mo amesema kuwa sababu kubwa ambayo imemfanya akajiengua ni kutokuwa na muda kwa kuwa amekuwa akisafiri mara kwa mara hivyo nafasi hiyo itakuwa mikononi mwa Salim Abdalah, ‘Tryagain’. 

 Mo amebainisha pia mafanikio ambayo wameyapata kwa muda wa miaka minne ikiwa ni ile ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara nne pamoja na kuweza kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika huku akisistiza kwamba bado anaipenda Simba na yupo Simba.

 

BREAKING:MO DEWJI AJIENGUA SIMBA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI DULLY HANA TATIZO NA HARMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply