Home video BIASHARA UNITED WAWACHAMBUA NYOTA WAPYA WA SIMBA

BIASHARA UNITED WAWACHAMBUA NYOTA WAPYA WA SIMBA

MASHABIKI wa Biashara United wameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji ushindi mbele ya Simba ila ilikuwa ngumu kwao kwa kuwa waliamua kuwahurumia Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume, Mara.


Pia wamewachambua nyota wapya wa Simba wakimtaja Yusuph Mhilu kuwa miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa huku wengine ikiwa ni majina tu.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KOCHA SIMBA AWAFUNGUKIA WACHEZAJI WAKE WAPYA