Home video EXCLUSIVE:SHABIKI WA YANGA AFUNGUKA NAMNA ALIVYOANZA KUIPENDA TIMU HIYO

EXCLUSIVE:SHABIKI WA YANGA AFUNGUKA NAMNA ALIVYOANZA KUIPENDA TIMU HIYO

SHABIKI kindakindaki wa Yanga, bibi ameweka wazi kuwa anaipenda timu ya Yanga ikitokea imefungwa huwa hali, tangu 57 mpaka alipokuwa kigoli aliulizwa na baba yake kuwa anahitaji maua ya aina gani alichagua rangi ya njano na kijani. Ameweka wazi kuwa hata mume wake pia alikuwa ni shabiki wa Yanga. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YAWATANGAZIA VITA WANAIJERIA,BANDA AIBUA JAMBO SIMBA