Home news HI HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA TP MAZEMBE WATAKAOCHEZA NA SIMBA,SEPTEMBA 19

HI HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA TP MAZEMBE WATAKAOCHEZA NA SIMBA,SEPTEMBA 19


 ORODHA ya wachezaji 23 watakaotua Tanzania, Septemba 18 kwa ajili ya kumenyana na Simba, Uwanja wa Mkapa.

Ni wachezaji wa TP Mazembe miamba kutoka DR Congo ambapo watakuwa na mchezo na Simba Septemba 19.

Utakuwa mchezo wa kirafiki katika siku ya tamasha la Simba Day.


SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA YANGA KESHO....DODOMA JIJI WAWEKEWA MIL 30 MEZANI...