Home kimataifa MANCHESTER CITY NA LIVERPOOL BADO ZAMPIGIA HESABU HAALAND

MANCHESTER CITY NA LIVERPOOL BADO ZAMPIGIA HESABU HAALAND


MANCHESTER City kwa sasa wanatajwa kuingia kwenye rada za kuinasa saini ya nyota Erling Haaland ambaye ni mali ya Borussia Dortmund. 

City inahitaji saini ya Haaland ili awe mbadala wa Kylian Mbappe ambaye inaonekana ni ngumu kwao kupata saini yake.

Mbali na City pia Liverpool nao wanamfuatilia nyota huyo wakiwa wanahitaji kuwa naye katika kikosi chao.

Ni kwa ajili ya hesabu za msimu ujao na hii ni kwa mujibu wa Glen Johnson beki wa zamani wa Liverpool.


SOMA NA HII  KIPA WA TIMU YA TAIFA YA ITALIA KUIBUKIA PSG