Home video HIVI NDIVYO TP MAZEMBE WALIVYOTUA BONGO, KESHO KAZINI

HIVI NDIVYO TP MAZEMBE WALIVYOTUA BONGO, KESHO KAZINI

KLABU ya TP Mazembe ambao ni mabingwa mara tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika leo Septemba 18 wamewasili Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba ambao unatarajiwa kuchezwa kesho Septemba 19, Uwanja wa Mkapa katika tamasha la Simba Day. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa kikosi kazi kwa ajili ya msimu wa 2021/22.

 

SOMA NA HII  MBWIGA AMPIGA MKWARA HAJI MANARA,ASHAURI NAMNA YA KUWA NA MASTAA