Home Habari za Yanga SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA…TANZANIA YAPANDA VIWANGO…YANGA YAAMBULIA POINTI 1

SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA…TANZANIA YAPANDA VIWANGO…YANGA YAAMBULIA POINTI 1

SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA...TANZANIA YAPANDA VIWANGO...YANGA YAAMBULIA POINTI 1

SIMBA imeshaipa neema Tanzania baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.

Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.

Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.

Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi.

SOMA NA HII  SABABU ZA SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO MBRAZILI ZAWEKWA WAZI