Home Habari za michezo MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA…ANAISHI CHINI YA DARAJA…INASIKITISHA SANA

MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA…ANAISHI CHINI YA DARAJA…INASIKITISHA SANA

MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA...ANAISHI CHINI YA DARAJA...INASIKITISHA SANA

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Oktoba 2021, na kutoweka bila kujulikana, alipokuwa akicheza na JDR Stars katika ligi daraja la pili Afrika Kusini.

Mnamo Januari 2022, alipatikana barabarani, akichimba kwenye mapipa ya takataka, na akiishi chini ya daraja

SOMA NA HII  MAYELE AZIDI KUJAZWA NG'OMBE MIKOANI...APEWA MWINGINE MNONO...BUMBULI ATAJA NA MADAFU...