Home Habari za michezo KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA…MZUNGU AMETHIBITISHA…SILAHA MATATA ZATUMIKA

KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA…MZUNGU AMETHIBITISHA…SILAHA MATATA ZATUMIKA

KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA...MZUNGU AMETHIBITISHA...SILAHA MATATA ZATUMIKA

Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda.

Hatua hiyo imekuja siku chache tangu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania kumtangaza Kocha mpya wa Timu ya Taifa.

Wachezaji walioitwa wa Kagera ni Anuary Jabir, Datius Peter, David Luhende, Abdallah Mfuko.

Kwa miaka mingi Timu ya Taifa imekuwa ikitawaliwa na wachezaji kutoka timu za Simba na Yanga..

SOMA NA HII  SAFARI YA FEI TOTO DUBAI...SIRI IMEVUJA...TAJIRI ALIYEMSAFIRISHA HUYU HAPA...