KIKOSI rasmi cha Azam FC, kitakachowavaa mabingwa wa Zambia, Zesco United, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.
Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola, Zambia leo Ijumaa saa 10.00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.