Home video MSUVA:TULIAMBIWA TUTAFUTE GOLI NDANI YA DAKIKA 10

MSUVA:TULIAMBIWA TUTAFUTE GOLI NDANI YA DAKIKA 10

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Simon Msuva amesema kuwa mashindano ya kuwania Kufuzu Kombe la Dunia ni magumu huku akibainisha kwamba waliambiwa watafute goli ndani ya dakika 10. 


Jana Msuva alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa na kuweza kushinda mabao 3-2 dhidi ya Madagascar.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA HUJUMA