Home Burudani MUBEEN ESMAIL ASHINDA JACPOT YA SportPesa

MUBEEN ESMAIL ASHINDA JACPOT YA SportPesa


 MKWANJA umetolewa kwa mshindi mwingine ambaye ameweza kubashiri vizuri Jacpot ya SportPesa.

Ni Mubeen Esmail kutoka Mtwara ambaye ameshinda bonas ya Jackpot ya SportPesa.

 Amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,389,751/- za kitanzania baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.

 Mubeen alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot. Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni shilingi 468,576,020/-

SOMA NA HII  MBALI NA KUPIGWA JUZI...MWAKINYO AZIDI KUTAKATA DUNIANI....ISHU NZIMA IKO HIVI...