Home video OKWI AIBUKA UWANJA WA MKAPA KWENYE TAMASHA LA SIMBA DAY

OKWI AIBUKA UWANJA WA MKAPA KWENYE TAMASHA LA SIMBA DAY

NYOTA wa zamani wa Simba ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki wa Simba, Emanuel Okwi leo Septemba 19 ameibuka Uwanja wa Mkapa ikiwa ni siku ya tamasha la Simba Day. Nyota huyo yupo kwa sasa Uwanja wa Mkapa. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:MWINA KADUGUDA HAJUI MPILI KATOKEA WAPI