Home video TAMBO ZA MTENDAJI MKUU WA SIMBA WAKATI WA KUMWAGA WINO DILI JIPYA

TAMBO ZA MTENDAJI MKUU WA SIMBA WAKATI WA KUMWAGA WINO DILI JIPYA


SEPTEMBA 24, Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez uliweza kuingia mkataba na kampuni ya magari ya Africarriers wenye thamani ya milioni 800.Tambo za madam kama zote kuhusu dili hilo na sababu ya kupata. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MORRISON APEWA JINA JIPYA NA MWANA NAMUNGO