Home video TAZAMA HALI ILIVYO NJE NA NDANI YA UWANJA WA MKAPA

TAZAMA HALI ILIVYO NJE NA NDANI YA UWANJA WA MKAPA

UWANJA wa Mkapa leo Septemba 19, mashabiki wa Simba wamejitokeza wengi kwa ajili ya kushuhudia burudani tosha ambapo taarifa rasmi iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa tiketi zimekwisha na ndani ya uwanja mashabiki ni wa kutosha


Ni kwenye tamasha la Simba Day ambalo litatumika kuwatambulisha wachezaji wa kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22.

 

SOMA NA HII  VIDEO: ALIYEWALETA CHAMA, BWALYA KUMLETA KIUNGO MWINGINE WA KAZI