Home news UZINDUZI WA JEZI YA SIMBA SEPTEMBA 4

UZINDUZI WA JEZI YA SIMBA SEPTEMBA 4


SASA ni rasmi kuwa uzinduzi wa jezi za Klabu ya Simba itakuwa ni Septemba 4, saa 1:00 usiku.

Kupitia kwa Fred Ngajiro Mtendaji Mkuu wa Vunja Bei ambaye alishinda tenda ya jezi amesema kuwa jezi hiyo mpya ya Simba itakuwa ni nzuri sana na ya kipekee.

“Uzinduzi wetu wa jezi tutaizundua Septemba 4, saa 1:00 usiku na jezi yetu itakuwa nzuri sana kushinda jezi za timu nyingine hizi za ndani.

“Baada ya uzinduzi zitakuwa madukani na zitauzwa masaa 24, na nina amini kwamba ni bora,” amesema.

Asubuhi ya leo Simba walitoa taarifa kwamba watakuwa na mkutano ambao utazungumzia masuala ya jezi.

SOMA NA HII  WAFAHAMU USM ALGER WAPINZANI WA YANGA CAF...MAJAA KUMBE NI 'MCHELE MCHELE TU'...HAWANA MAAJABU..