Home video VIDEO:KOCHA WA MADAGSCAR ATAJA SABABU YA KUPOTEZA,MIPANGO YAO

VIDEO:KOCHA WA MADAGSCAR ATAJA SABABU YA KUPOTEZA,MIPANGO YAO

KOCHA wa timu ya taifa ya Madagascar amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo huo jambo lililowagharimu na kuwafanya wapoteze kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ameweka wazi kuwa wachezaji wa Stars walikuwa bora na walicheza mchezo wa kujilinda zaidi.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NAMUNGO: TULIWAPA SIMBA MABAO, TUTARUDI KIMATAIFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here