Home video VIDEO:TAZAMA MUONEKANO WA NDINGA MPYA YA SIMBA

VIDEO:TAZAMA MUONEKANO WA NDINGA MPYA YA SIMBA


HUU hapa ni muonekano wa basi jipya la Simba kwa ajili ya timu ya Wanaume ambalo litatumika msimu wa 2021/22.


 Basi hili ni moja kati ya yale matatu ambayo Simba imepewa kutoka kwa wadhamini wake Africarriers. 

 Lina siti za kutosha na kuna TV ndani, USB Cable pamoja na friji.

 

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA UWANJA MPYA WA YANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here