Home video SHABIKI ABAINISHA KUWA WACHEZAJI WA SIMBA MIILI HAIJAFUNGUKA

SHABIKI ABAINISHA KUWA WACHEZAJI WA SIMBA MIILI HAIJAFUNGUKA

MASHABIKI wa Simba wanaamini kuwa timu yao itafanya vizuri ila kwa sasa inakwama kupata matokeo kwa kuwa miili ya wachezaji bado haijafunguka pia wametamba kutokana na usajili ambao wameufanya. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MAPOKEZI YA HAJI MANARA LEO YANGA ACHA KABISA