Home video WACHEZAJI TWIGA STARS WAWEKA WAZI KUWA HAIKUWA RAHISI

WACHEZAJI TWIGA STARS WAWEKA WAZI KUWA HAIKUWA RAHISI

136
0

WACHEZAJI wa timu ya Twiga Stars ambao ni mabingwa wa COSAFA 2021 wameweka wazi kuwa haikuwa kazi rahisi kuweza kutwaa taji hilo ila walipambana na kujitoa kwa ajili ya kulipata kombe hilo.