Home news VIGOGO SIMBA NA YANGA WAJITOSA KUWANIA UBOSI WA BODI YA LIGI…

VIGOGO SIMBA NA YANGA WAJITOSA KUWANIA UBOSI WA BODI YA LIGI…


Mwenyekiti wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni miongoni mwa majina yaliyopita katika mchujo wa awali kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu.

Jina lingine lililopenya katika mchujo huo ni Steven Mnguto ambaye anatetea nafasi hiyo kutoka Coastal Union ya Tanga.


SOMA NA HII  WAARABU WAPANGA VIINGILIO 'BABU KUBWA' MECHI YAO NA YANGA...TIKETI ZINAUZWA LAKI...